Hanau
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hanau ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Main. Idadi ya wakazi wake ni takriban 88,300. Mji ulianzishwa 1143. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni 15 km.

Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hanau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads