Harrison Ford
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Harrison Ford (amezaliwa tarehe 13 Julai 1942 Mjini Chicago, Illinois, Marekani) Ni muigizaji wa filamu kutoka nchini marekani. Anafahamika zaidi kwa ujasili wake kwa kuwa nahodha "Han Solo" katika mfululizo wa filamu ya 'Star Wars.
Na pia kuwa mtafiti wa vitendo, Yaani kila anachojaribu kukitafiti yeye huwa asomi tu bali mpaka akione chanzo chake, anafahamika kama Dr. Henry 'Indiana Jones' katika mfululizo wa filamu ya Indiana Jones. Ford pia amewahi kuwa nyota wa filamu nyingi tu za hali ya juu ikiwemo ile ya Air Force One na Fugitive ambazo pia zilimpa heshima kubwa na umaarufu pia mbali na zile za mwanzo zilizokuwa zinafahamika kama 'Indiana Jones'.
Remove ads
Maisha ya Mwanzo
Maisha Binafsi
Filamu Alizoigiza
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
- Tovuti Rasmi ya Harrison Ford Ilihifadhiwa 23 Juni 2017 kwenye Wayback Machine.
- Harrison Ford Mtandao wa Mwongozo
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harrison Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads