Indiana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Indiana ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa ni Indianapolis. Imepakana na Michigan, Ohio, Kentucky, na Illinois. Iko kwenye mwanbao wa Ziwa Michigan.
Jimbo lina wakazi wapatao 6,376,792 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 94,321.

Remove ads
Viungo vya Nje
State of Indiana Official Website
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Indiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads