Herme wa Numidia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Herme wa Numidia (alifariki 290 hivi) ni kati ya Wakristo wa Numidia (Afrika Kaskazini) waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Maximian.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Machi[1].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads