Holly Marie Combs
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Holly Marie Combs (amezaliwa 13 Desemba, 1973)[1] ni mwigizaji na matayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani.
Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Piper Halliwell kwenye mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa na The WB, Charmed (1998–2006). Katikati mwa miaka ya 1990, Combs amecheza kama Kimberly Brock katika mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa hewani na TV ya CBS, Picket Fences (1992–1996), ambayo ilimpatia tuzo ya Young Artist Award.[2][3] Pia amepata kucheza katika filamu kama vile Sweet Hearts Dance (1988), Born on the Fourth of July (1989), Dr. Giggles (1992), Sins of Silence (1996), Daughters (1997) na Love's Deadly Triangle: The Texas Cadet Murder (1997). Combs kwa sasa anacheza kama nyota kwenye mfululizo wa TV unaorushwa hewani na TV ya "ABC Family", Pretty Little Liars - kama Ella Montgomery.
Remove ads
Remove ads
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads