Home on the Range (filamu ya 2004)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Home on the Range (filamu ya 2004)
Remove ads

Home on the Range ni filamu ya katuni-muziki ya Kimarekani ya mwaka wa 2004 iliyotayarishwa na Walt Disney Feature Animation na kutolewa na Walt Disney Pictures mnamo tarehe 2 Aprili 2004, na ilipewa jina la wimbo wa muziki wa country maarufu kama "Home on the Range". Hii ni filamu ya 45 kutolewa kutoka katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics, na ilikuwa ya mwisho kutolewa na Disney kwa upande katuni hadi hapo ilipofika mwaka wa 2009 alipotoa filamu ya The Princess and the Frog, na hii filamu ya katuni ya mwisho ya Disney kutolewa kwenye VHS.

Ukweli wa haraka Imeongozwa na, Imetayarishwa na ...

Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Roseanne Barr, Judi Dench, Jennifer Tilly, Steve Buscemi, G.W. Bailey, Cuba Gooding, Jr. na Randy Quaid.

Remove ads

Washiriki

Maelezo zaidi Mwigizaji, Uhusika ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads