The Princess and the Frog
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
The Princess and the Frog ni filamu ya katuni-muziki ya Kimarekani ya mwaka wa 2009 iliyotayarishwa na Walt Disney Feature Animation na kutolewa na Walt Disney Pictures tarehe 11 Desemba 2009. Hii ni filamu ya 49 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics, na ilikuwa ya kwanza kutolewa na Disney kwa upande wa katuni tangu mwaka wa 2004 ilipotoa filamu ya Home on the Range.
Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Anika Noni Rose, Oprah Winfrey,[3] Keith David, Jim Cummings, John Goodman, Jenifer Lewis, Bruno Campos, Michael-Leon Wooley, Peter Bartlett na Terrence Howard.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads