Hotuba

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hotuba
Remove ads

Hotuba (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: discourse) ni aina rasmi ya mawasiliano inayotumia lugha kwa namna maalumu ya dini, siasa, sayansi n.k. kadiri ya mazingira na walengwa[1]

Thumb
Hotuba ya mlimani kadiri ya Carl Bloch (1877)
Thumb
Mchungaji akihutubia katika mimbari, 1968.

Katika Injili, ni maarufu Hotuba ya mlimani ya Yesu.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads