Humphrey Bogart
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Humphrey DeForest Bogart (25 Desemba 1899 – 14 Januari 1957)[1][2] alikuwa mwigizaji wa filamu wa nchini Marekani. Huyu ameonekana katika zaidi ya filamu sabini na tano. Miongoni mwa filamu mashuhuri alizocheza ni pamoja na The Maltese Falcon (1941), Casablanca (1942) na The African Queen (1951).
Remove ads
Filamu alizocheza Bogart
- The Petrified Forest (1936)
- Angels with Dirty Faces (1938)
- The Roaring Twenties (1939)
- The Maltese Falcon (1941)
- Casablanca (1942)
- To Have and Have Not (1944)
- The Treasure of the Sierra Madre (1948)
- Key Largo (1948)
- In a Lonely Place (1950)
- The African Queen (1951)
- The Caine Mutiny (1954)
- Sabrina (1954)
- The Desperate Hours (1955)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads