Hussein Ibrahim Makungu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hussein Ibrahim Makungu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads