Giboni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Giboni (Kilatini: Hylobates) ni jenasi ya masokwe wadogo. Masokwe wadogo wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Asia ya Kusini-Mashariki.
Remove ads
Mwainisho
Picha
- Hylobates lar
- Hylobates albibarbis
- Hylobates agilis
- Hylobates muelleri
- Hylobates moloch
- Hylobates pileatus
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads