IBali
Mwanamuziki wa Kamerun From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ataindum Donald Nge (amezaliwa Septemba 2, 1997) ni mwanamuziki wa Kameruni na mtumbuizaji anayefahimika kwa jina la Ibali akiwa jukwaani. Pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu. [1]
Maisha ya awali na kazi
Ibali alizaliwa Bamenda, Kameruni. Ibali anandugu 3 na yeye ndiye mzaliwa wa kwanza katika familia yao. Alianza kurekodi muziki mwaka 2014 kwa jina la Dolly Pearl.[2]
Ibali alitoa nyimbo mbalimbali akiwashirikisha wasanii kama vile Richard Kings, Magasco, Blaise B, na Daddy Black.[3][4] Januari 2021, Ibali alizindua video yake mpya iitwayo Revelation chini ya albamu yake ya Prophetic.[5]
Diskografia
Albamu
- Prophetic (2021)
Nyimbo
- Legendary
- One People
- Revelation
Zilizoshirikishwa
- Dolly Pearl ft Blaise B
- Dolly Pearl Cado ft Daddy Black
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads