I Just Can't Stop Loving You

From Wikipedia, the free encyclopedia

I Just Can't Stop Loving You
Remove ads

"I Just Can't Stop Loving You" ni jina la kutaja wimbo wa ballad ulioimbwa na Michael Jackson akimshirikisha Siedah Garrett. Wimbo huu umetungwa na Jackson, kiasili ulinuiwa uimbwe pamoja na wanawake vipenzi wa Jackson: aidha Barbra Streisand au Whitney Houston. Hata Aretha Franklin na Agnetha Fältskog (mwanachama wa zamani wa kundi la ABBA) waimbe kwenye wimbo huu, lakini waimbaji wanne hao wote walikuwa na majukumu mengine.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Hata hivyo, mtunzi na Quincy Jones wakampendekeza Garrett, ambaye ndiye aliyeandika ukumbusho wa Jackson "Man in the Mirror", amejitolea kuimba na Jackson hivyo kupelekea Garrett kuwa kwa mara ya kwanza kushiriki kwenye kibao kikali tangu kibao cha 1984 cha Dennis Edwards, "Don't Look Any Further".

Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chart (1987), Nafasi iliyoshika ...

Orodha ya nyimbo

  1. "I Just Can't Stop Loving You" – 4:23
  2. "Baby Be Mine" – 4:12

Mix zake

  1. Toleo la Albamu – 4:25
  2. 7" Toleo – 4:11
    • Toleo hili hapa limetolewa baada ya kutolewa upya albamu kamili ya Bad
  3. "Todo mi amor eres tu" Toleo la Kuhispania – 4:06
  4. "Je ne veux pas la fin de nous" Toleo la Kifaransa – 4:06

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads