Whitney Houston
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Whitney Elizabeth Houston (9 Agosti 1963 - 11 Februari 2012) alikuwa mwimbaji maarufu, mcheza filamu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Whitney ni mshindi wa Tuzo ya Grammy - akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani. Anafahamika zaidi kwa kuwa sauti kali yenye nguvu na mvuto.[2] Anafahamika zaidi kwa kupitia wimbo wake wa "I Will Always Love You" na "I Wanna Dance with Somebody" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'
Whitney ni mmoja kati ya wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kabisa katika medani ya muziki. Moja kati ya albamu zake ambazo zilipata kuwa maarufu zaidi ni pamoja na The Bodyguard (Kibwagizo bora kwa mauzo bora kwa miaka yote) na ndiyo albamu yake iliyofanya vizuri kupita zote.
Whitney Houston alifariki mnamo tarehe 11 Februari 2012 katika mazingira ya utata. Mwili wake ulikutwa katika chumba cha hoteli ya Beverly Hilton huko Beverly Hills, California.[12]
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali
Diskografia
- Studio albamu
- Whitney Houston (1985)
- Whitney (1987)
- I'm Your Baby Tonight (1990)
- My Love Is Your Love (1998)
- Just Whitney (2002)
- I Look to You (2009)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads