If My Homie Calls
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"If My Homie Calls" ni kibao cha pili kutoka kwa msanii 2Pac. Kibao kinatoka katika albamu yake ya kwanza 2Pacalypse Now. Muziki wa video ulitengenezwa kwa ajili ya wimbo huu. Alipata kuuimba wimbo huu mwanzoni mwa miaka ya 1990 kwenye kipindi maarufu cha MTV Yo! MTV Raps.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- "If My Homie Calls (LP Version)"
- "Brenda's Got a Baby (Radio Mix)"
- "If My Homie Calls (Instrumental)"
- "Brenda's Got a Baby (Instrumental)"
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads