Imeri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Imeri (pia: Imerius, Himerius, Hymerius, Imier, Immer; Lugnez, Uswisi, 560/570 - Sant-Imier, 620/630) alikuwa mmonaki mkaapweke aliyeinjilisha eneo la Jura[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Novemba [2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads