Inglewood, California

From Wikipedia, the free encyclopedia

Inglewood, California
Remove ads

Inglewood ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, kuna wakazi wapatao 112,000 wanaoishi katika mji huo.

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
The Forum

Mji uko mita 40 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni kilomita za mraba| 24.

Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Inglewood, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads