Innere Stadt

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Innere Stadt kwa Kiswahili Wilaya ya kwanza au kwa Kijerumani Erster Bezirk katikati za mjiji ni moja kwa 23 wilaya ya mji mkubwa wa Vienna ya Austria.

Sehemu

Thumb
Makumbusho wa asili Vienna (NHM Wien)
Thumb
Kanali wa Danubi
Thumb
Kituo cha treni za mjini Vienna Herrengasse (U3)

Wilaya ya kwanza ya Vienna ni kati ya barabara inaitawa "Ringstrasse" au fupi: "Ring" na Franz-Josefs-Kai, au mfupi "Kai".

Kuhusu

Thumb
Stephans-Dom na Stephansplatz
Thumb
Uchunguzi Urania
Thumb
Opera

Wilaya ya kwanza ina kata moja tu pia, inaitawa "Innere Stadt" pia.

Lakni wilaya wengine wa Vienna zina kata wengi. Kwa mfano: Wilaya ya 14 (Penzing) ina kata la Huetteldorf, Hacking, Penzing na wengine.

Wilaya ya kwanza ni katikati ya politiki ya Austria na Vienna. Kwenye barabara ya Ring kuna parlamenti ya jamhuri ya Austria na Rathaus ya Vienna pia.

Pia wilaya ya kwanza kina makumbusho ya taifa ya asili (NHM) na ya arti (KHM) na makumbusho kuu ya makumbusho ya Austria pia, inaitawa "Museumsquartier".

Bustani ya mji (Kijerumani: Stadtpark) ipo katikati ya wilaya ya kwanza na ya tatu (Landstrasse).

Stephans-Dom ipo Stephansplatz katikati za wilaya.

Pia kuna nyumba za teleskopi inaitawa Urania.

Kanali ya mto Danubi ipo katikati ya kata ya kwanza na kata ya tatu, pia ipo katikati ya bustani wa mji.

"Hofburg" ipo wilaya ya kwanza pia (karibu na makumbusho wa taifa), Opera ya Vienna ipo Karlsplatz, kusini wa wilaya ya kwanza.

Chuo kikuu ipo mpaka ya kata ya kwanza, karibu na "Schottentor" (Lango la Uskoti).

Watu wengi wanajua kata ya kwanza sababu Vienna Fiaker pia Taxi ya Farasi.

Remove ads

Trafiki

Mtaa muhimu kwa watalii ni mtaa wa Kathina na Mtaa wa Rotenthurm (kando ya Stephansplatz).

Kuna huduma tra Treni za mjini Vienna, mistari nyekundu (U1) na rangi ya machungwa (U3), pia, mistari wa kijani (U4) na ya purpeli (U2) zinaendeshawa chini ya barabara ya Ring na Kai huko mpaka wa wilaya ya 1.

Treni za barabarani Vienna treni za barabarani zinaendeswa barabarani wa Ring na ya Kai, pia kuna huduma za mabasi la mjini ya Wiener Linien.

Schwedensplatz, kaskazini wa wilaya ya kwanza, kuna bandari ya meli inasafirishwa mpaka Bratislava Twin City Liner.

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads