Innocent Lugha Bashungwa
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Innocent Lugha Bashungwa (alizaliwa 5 Mei 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Karagwe kwa mwaka 2015 – 2020. [1] Kwa sasa ni waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). [2] Oktoba 3, 2022, alichukua nafasi ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Tanzania. [3]
Remove ads
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads