Inongo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Inongo ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Mai-Ndombe, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 45,159 (2009 [1]).

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads