Isambe Monie
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Isambe - Monie" ni jina la albamu ya nane kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Ni moja kati ya albamu zilizotamba sana katika ulimwengu wa rhumba na soukous kwa miaka ya 1990. Albamu imetoka mwaka 1990.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Tazama pia
Viungo vya Nje
- Isambe Monie katika wavuti ya Discogs
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads