Zing Zong
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Zing Zong" ni jina la albamu ya saba kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Albamu imetoka mwaka wa 1991. Nyimbo kali zilizotamba kutoka katika albamu ni pamoja na Isambe, Wallow na Monie.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Tazama pia
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
