Issaay Zacharia Paulo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Issaay Zacharia Paulo (amezaliwa 12 Januari 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbulu Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads