Italia ya Kati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Italia ya Kati ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Lazio, Marche, Toscana na Umbria.
Kwa jumla ni km2 58,052 na wakazi 12,068,519[2]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads