Itigi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Itigi ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Itigi katika Mkoa wa Singida, Tanzania.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata ya Itigi Mjini walihesabiwa 7,157 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, ilikuwa na wakazi wapatao 5,590 waishio humo.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads