Iveta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Iveta (pia: Juta, Jufta; 1158 - 13 Januari 1228) alikuwa mwanamke ambaye, kisha kubaki mjane, alijitosa kwa miaka 11 kuhudumia wakoma na hatimaye alitengwa na jamii pamoja nao huko Huy karibu na Liege, Ubelgiji. Miaka 36 ya mwisho ya maisha yake aliishi upwekeni kabisa na kujaliwa karama za pekee[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads