Johannes Hans Daniel Jensen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Johannes Hans Daniel Jensen
Remove ads

Johannes Hans Daniel Jensen (25 Juni 190711 Februari 1973) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1963, pamoja na Maria Goeppert-Mayer na Eugene Wigner alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Hans Daniel Jensen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Johannes Hans Daniel Jensen
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads