25 Juni
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 25 Juni ni siku ya 176 ya mwaka (ya 177 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 189.
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1852 - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 1864 - Walther Nernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920
- 1907 - Johannes Hans Daniel Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 1911 - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1913 - Aime Cesaire, mwandishi kutoka Martinique
Waliofariki
- 1995 - Ernest Walton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1951
- 2009
- Farrah Fawcett
- Michael Jackson, mwimbaji kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Torino, Prospa wa Akwitania, Prospa wa Reggio, Tigre, Moluag, Eurosia wa Jaca, Adalberto wa Egmond, Solomoni wa Bretagne, Wiliamu wa Vercelli, Dominiko Henares, Fransisko Do Minh Chieu n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads