Jangwani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jangwani
Remove ads

Jangwani ni kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11108.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Jangwani kama inavyoonekana kutoka uwanja wa kucheza wa Jangwani karibu na kituo cha Jangwani Rapid, Juni 2019

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,793 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,722 waishio humo.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads