Jeradi Sagredo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jeradi Sagredo, O.S.B. (Venezia, Veneto, Italia, 23 Aprili 980 hivi - Budapest, Hungaria, 24 Septemba 1046) alikuwa mmonaki Mbenedikto aliyeinjilisha Hungaria chini ya mfalme wa kwanza, Stefano wa Hungaria, aliyemfanya askofu wa Csanad (1000–1038)[1].

Hatimaye aliuawa na Wapagani kwa kupigwa mawe, akaitwa Mtume wa Hungaria.
Papa Gregori VII alimtangaza mtakatifu tarehe 20 Agosti 1083 pamoja na Stefano na mwanae, Emeriko wa Hungaria, aliyelelewa naye.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
