Jeshi la Kujenga Taifa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jeshi la Kujenga Taifa (kifupi JKT) ni tawi la jeshi la Tanzania. Liliasisiwa tarehe 10 Julai 1963 [1] kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vijana wa Kitanzania juu ya uzalendo, maadili pamoja na nidhamu.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads