Jessica Chastain

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jessica Chastain
Remove ads

Jessica Michelle Chastain (alizaliwa Sacramento, California, 2 Machi 1977) ni mwigizaji wa filamu kutoka Marekani.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...

Chastain alianza kazi ya uigizaji tangu akiwa na umri mdogo. Mnamo 1998, alianza uigizaji wake kwenye tamthilia ya Shakrespeare ya Romeo & Juliet. Mnamo 2012, Chastain alishinda tuzo ya Golden Globe kwa ajili ya uhodari wake wa uigizaji kwenye filamu ya Zero Dark Thirty.

Chastain ameolewa na Gian Luca Passi de Preposulo, na wawili hao wana mtoto mmoja.

Remove ads

Filamu

Thumb
Chastain kwenye Toronto International Film Festival, mnamo 2013
Maelezo zaidi Filamu, Mwaka ...
Remove ads

Televisheni

Maelezo zaidi Jina, Mwaka ...
Remove ads

Tamthilia

Maelezo zaidi Jina, Mwaka ...

Muziki

Maelezo zaidi Jina, Mwaka ...

Tuzo

Maelezo zaidi Tuzo, Mwaka ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads