Jimbo Katoliki la Njombe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo Katoliki la Njombe (kwa Kilatini "Dioecesis Niombena") ni mojawapo kati ya majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Kwa sasa Askofu wake ni Eusebius Kyando.
Remove ads
Historia
- 1968: Kuanzishwa kwa jimbo la Njombe kutokana na jimbo la Iringa na jimbo la Songea
Uongozi
- Maaskofu wa Njombe
- Eusebius Kyando (14-01-2024 -)
- Alfred Leonhard Maluma (2002 - 2021)
- Raymond Mwanyika (1971 – 2002)
Takwimu
Eneo ni la kilometa mraba 20,860, ambapo kati ya wakazi 717,000 (2006) Wakatoliki ni 294,100 (41.0%).
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Njombe kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads