Jimbo Kuu la Mbeya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo Kuu la Mbeya
Remove ads

Jimbo Kuu la Mbeya (kwa Kilatini "Archidioecesis Mbeyaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linasimamia jimbo Katoliki la Iringa, Jimbo Katoliki la Sumbawanga na Jimbo Katoliki la Mafinga.

Askofu mkuu wake wa kwanza amechaguliwa Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga tarehe 21 Desemba 2018.

Remove ads

Historia

Uongozi

  • Maaskofu wa Mbeya
    • Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga (2018- )
    • Evaristo Marc Chengula MC (1996-2018)
    • James Dominic Sangu (1966 – 1996)
    • Antoon van Oorschoot MAfr (1953 – 1964)
  • Vicar Apostolic wa Mbeya
    • Antoon van Oorschoot MAfr (1949 – 1953)
  • Prefect Apostolic wa Mbeya
    • Antoon van Oorschoot MAfr (1947 – 1949)
    • Ludwig Haag MAfr (1938 – 1947)
    • Max Theodor Franz Donders MAfr (1932 – 1938)

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 60,348, ambapo kati ya wakazi 2,082,000 (2006) Wakatoliki ni 347,347 (16.7%).

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Mbeya kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads