Jimbo Katoliki la Sumbawanga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo Katoliki la Sumbawanga
Remove ads

Jimbo Katoliki la Sumbawanga (kwa Kilatini "Dioecesis Sumbavangensis") ni mojawapo kati ya majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania, na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kanisa kuu liko mjini Sumbawanga, katika mkoa wa Rukwa.

Lilianzishwa tarehe 10 Mei 1946 na linahusiana na Jimbo Kuu la Mbeya.

Askofu wa sasa ni Beatus Christian Urassa, ALCP/OSS.

Remove ads

Takwimu

Eneo lake lote ni kama kilometa mraba 28.654, ambamo wamo wakazi 1,244,330. Kati yao Wakatoliki ni 757,451 (2014) yaani asilimia 60.9.

Waamini hawa wanahudumiwa na mapadri 48, ambao kati yao 42 ni wanajimbo na 6 watawa. Hivyo kwa wastani kila mmojawao anahudumia waamini 15,780.

Parokia ziko 24.

Jimbo lina mabruda 61 na masista 320.

Mlolongo wa maaskofu

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Sumbawanga kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads