Jimbo la Bas-Sassandra
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jimbo la Bas-Sassandra (kwa Kifaransa: District du Bas-Sassandra) ni moja kati ya Majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko Kusini magharibi mwa nchi[1].
Mwaka 2014 (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014), idadi ya wakazi ilikuwa watu 2,280,548[1].
Makao makuu yako San-Pédro.
Remove ads
Mikoa
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads