John Tyler
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
John Tyler (29 Machi 1790 – 18 Januari 1862) alikuwa Rais wa kumi wa Marekani kuanzia mwaka wa 1841 hadi 1845. Alikuwa Kaimu Rais wa William Henry Harrison aliyefariki madarakani baada ya mwezi mmoja tu.
Remove ads
Tazamia pia
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Tyler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads