Johnny Clegg

From Wikipedia, the free encyclopedia

Johnny Clegg
Remove ads

Jonathan Paul Clegg, OBE, OIS (7 Juni 1953  16 Julai 2019) alikuwa mwanamuziki, mwimbaji-mtunzi wa nyimbo, mchezaji densi, mwanaanthropolojia na mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini, ambaye baadhi ya kazi zake za muziki zililenga muziki wa watu asilia wa Afrika Kusini. Bendi yake ya Juluka ilianza kama watu wawili na Sipho Mchunu, na lilikuwa kundi la kwanza katika enzi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini kati ya mzungu na mtu mweusi. Wawili hao walitumbuiza na kurekodi.

Thumb
Clegg mnamo 1992
Remove ads

Maisha ya mapema na kazi

Clegg alizaliwa tarehe 7 Juni 1953 huko Bacup, Lancashire, [1] Baba yake alikua na Asili ya Uingereza , Dennis Clegg, na mama wa Rhodesia, Muriel (Braudo). [2] Familia ya mama yake Clegg walikuwa wahamiaji wa Kiyahudi kutoka Lithuania, na Clegg alikuwa na malezi ya Kiyahudi.[3] Wazazi wake walitalikiana alipokuwa bado mtoto mchanga, na alihamia na mama yake hadi Rhodesia (sasa Zimbabwe ) na kisha, akiwa na umri wa miaka sita, alihaia Afrika Kusini, [4] pia akitumia sehemu ya mwaka huko Israeli wakati wa utoto wake. [3]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads