Joji wa Mitilene
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Joji wa Mitilene (Anatolia, leo nchini Uturuki, 776 - Kerson, leo nchini Ukraina, 7 Aprili 820/821) alikuwa mmonaki halafu mkaapweke ambaye kwa sifa zake alichaguliwa bado kijana kuwa askofu mkuu wa Mitilene miaka 804-815[1][2]. Alidhulumiwa na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Alipopelekwa uhamishoni alishika tena maisha ya mkaapweke hadi kifo chake[3][4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads