Jokondiani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Jokondiani alikuwa Mkristo wa Afrika Kaskazini aliyeuawa kwa kutoswa baharini kwa ajili ya imani yake[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Julai[3].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads