Joseph Brodsky

From Wikipedia, the free encyclopedia

Joseph Brodsky
Remove ads

Joseph Aleksandrovich Brodsky (24 Mei 194028 Januari 1996) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Urusi. Kuanzia mwaka wa 1972 aliishi nchini Marekani. Mwaka wa 1987 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Brodsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads