24 Mei
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 24 Mei ni siku ya 144 ya mwaka (ya 145 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 221.
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1086 - Uchaguzi wa Papa Viktor III
Waliozaliwa
- 1819 - Malkia Viktoria wa Uingereza (1837-1901)
- 1905 - Mikhail Sholokhov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1965
- 1940 - Joseph Brodsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1987
- 1941 - Bob Dylan, mwanamuziki wa Marekani
- 1942 - James Fraser Stoddart, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 1963 - Michael Chabon, mwandishi kutoka Marekani
- 1975 - Will Sasso, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Remove ads
Waliofariki
- 1543 - Nicolaus Copernicus, padri mwanasayansi kutoka Polandi
- 1974 - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Manaeni, Yoana mke wa Kuza, Zoelo wa Listra, Servulo wa Trieste, Donasiani na Rogasiani, Wafiadini wa Plovdiv, Visenti wa Lerins, Simeoni wa Mnarani Kijana, Augustino Yi Kwanghon na wenzake n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads