Josephine Tabitha Chagulla
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Josephine Tabitha Chagulla (amezaliwa tarehe 26 Februari 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads