Jozef Tomko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jozef Tomko (11 Machi 1924 – 8 Agosti 2022) alikuwa askofu wa Slovakia katika Kanisa Katoliki ambaye alihudumu katika ofisi mbalimbali za Kuria ya Roma kuanzia mwaka 1962 hadi alipostaafu mwaka 2007.
Alikuwa mkuu wa Kongregesheni ya Uenezi wa Mataifa kutoka mwaka 1985 hadi 2001 na rais wa Kamati ya Kipapa ya Mikutano ya Kimataifa ya Ekaristi kutoka mwaka 2001 hadi 2007. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1985.[1]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads