Kajala Masanja
Mwigizaji From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kajala Masanja (alizaliwa 1985) ni mwigizaji wa filamu katika nchi ya Tanzania.[1]
Alionekana na Steven Kanumba katika filamu ya mwaka 2012 Kijiji Cha Tambua Haki.
Aliolewa na mfanyakazi ya benki wa zamani Faraji Chambo.[2][3] Pia ni mama wa mtoto mmoja anayeitwa Paula. Kwa sasa ameolewa na Harmonize.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads