Kapsabet
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kapsabet ni mji wa Kenya, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Wakazi walikuwa 91,030 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Kapsabet ni kata ya kaunti ya Nandi, eneo bunge la Emgwen, magharibi mwa Kenya[2].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads