Karan Singh Grover
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Karan Singh Grover (amezaliwa New Delhi, India, 23 Februari 1982) ni mwigizaji wa India.[1]

Remove ads
Maisha
Grover alizaliwa katika familia ya Singasinga.[2] Ana mdogo wake wa kiume.[3]
Wakati Grover alipokuwa bado mchanga familia yake ilihamia Al Khobar, Saudi Arabia. Alisomea huko Dammam, Saudi Arabia, kisha akafanya digrii katika Usimamizi wa Hoteli kutoka IHM Mumbai. Kisha alifanya kazi kama Mtendaji wa Masoko katika Hoteli ya Sheraton huko Oman.[4]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads