Karilefi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Karilefi (pia: Calais, Kalès, Carileph, Carilefus, Calevisus; 500 hivi - 541 hivi) alikuwa mkaapweke karibu na Le Mans, leo nchini Ufaransa[1].
Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads