Karisima
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Karisima (kwa Kifaransa: Carissime, Carême, Chresme; alifariki karne ya 7 hivi) alikuwa bikira Mkristo wa Ufaransa aliyeishi kama mkaapweke[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads