Kat DeLuna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kathleen Emperatriz "Kat" DeLuna (amezaliwa tar. 17 Novemba,[1] 1987[2] mjini The Bronx, New York) lakini amekulia katika moja kati ya sehemu za Newark, New Jersey. Kat ni mwimbaji wa Kimarekani mwenye asili ya Kidominika.
Wazazi wake wote wanatokea huko Dominika, mama yake, ana miliki duka la mikate mjini mwa mji wa Newark. Kwa sasa ameingia mkataba na studio ya Epic Records/GMB na studio ya Akon maarufu kama Konvict Muzik.
Konvict imetoa kile cha moyoni kwa kusema kuwa wanampango wa kuitoa upya albamu yake ya kwanza ya mwanadada huyu ya 9 Lives, lakini maelezo yake wa hivi karibuni alioyatoa kupitia mtandao wa myspace na kusema kwamba, amerejea zake studio kwa ajili ya kutoa albamu ya pili, na kupendekeza kuwa albamu ya 9 Lives haito tolewa tena, bali atashughulikia albamu mpya tu.
Remove ads
Wasifu
Maisha y awali
Muziki
Albamu
Single
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads